Markus Kamau: Music
Pesa ni Pesa
(Markus Kamau)
Pesa ni Pesa
(January, 2004)
© Chura Kipara Music
Hey! Hey! Hey! Hey! Mr Pesa ni Pesa.
Hey! Hey! Hey! Hey! Mr. Lashumbai
Hey! Hey! Hey! Hey! Mr Pesa ni Pesa
Lete kitu bwana tutakula tonite
Bwana lakini
Siku hizi mjini
Mzee afanya nini
To survive?
And survive?
Wewe bado kijana
Utakua mjanja
Utafanya manamba
To survive
And survive
Hey! Hey! Hey! Hey! Mr Pesa ni Pesa.
Hey! Hey! Hey! Hey! Mr. Lashumbai
Hey! Hey! Hey! Hey! Muezi eko kwa kona
Lete kitu Bwana, tutakula tonite
Hey! Hey! Hey! Hey! Muezi eko kwa kona
Wiki mbili, oh, hakuna chapa
Hey! Hey! Hey! Hey! Muezi eko kwa kona
Wiki tatu, oh, hakuna chapa
Bwana lakini
Siku hizi mjini
Mtu afanya nini?
To survive?
Just survive?
Uta mwona Arusha
Uta mwona Mombasa
Uta mwona Kinshasha
To survive
Just survive
Solo
Siku hizi ya giza
Wengi wana uliza
We, je! tutafanya nini kwa ukweli?
To survive
To survive
To survive
To survive